BBC News, Swahili - Habari

Sauti, The Rock ndiye 'mtu tajiri zaidi' Instagram., 2,00

Muigizaji maarufu Dwayne "The Rock" Johnson amekuwa nyota ambaye anaweza kulipisha malipo ya bei ya juu Zaidi kwa matangazo ya biashara kwenye ukurasa wa Instagram.

Jinsi mitindo ya mavazi ya asili inavyobadilika

Mpiga picha wa Nigeria ameweka picha za mavazi ya mtindo wa Yoruba kuanzia miaka ya 1970s mpaka sasa.

Video, Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 3/07/2020, 23,35

期货配资股指期货配资Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 3/07/2020 na Beryl Wambani

 • Wiki Hii, 07:00, 4 Julai 2020

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Wiki Hii, 06:00, 4 Julai 2020

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Julai 2020

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • MBELE Amka Na BBC, 05:59, 6 Julai 2020

  期货配资股指期货配资Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

 • Sauti, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, 6,57

  Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.